Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2016

wakimsifu Mungu, na kuwapendeza watu wote

wakimsifu Mungu, na kuwapendeza watu wote. Bwana akalizidisha kanisa kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa.  Matendo ya Mitume 2:47 Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.  Wafilipi 4:6 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu. Mathayo 5:10-12 Heri ninyi watu watakapowachukia, na kuwatenga, na kuwashutumu, na kulitupa nje jina lenu kama neno ovu, kwa ajili ya Mwana wa Adamu. Furahiwani siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.  Luka 6:22, 23 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nime...

vyombo vya music

kwaya ya uinjilist makorora jumapili ya tarehe 16 mwez wa kumi watakuwa na uzinduzi                                 wa vyombo vya music lengo kuu ni kulitangaza jina la yesu kiristo aliye hai yeye                                       ni yule yule jana leo na hata milile karibu kuungana nao katika uzinduz uo ni                                            katika usharika wa makorora tanga kkkt barikiwa                                                                                         ...

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI EMMANUEL MGOGO KUFUNGA NDOA TARE 14 KATIKA KANISA LA EAGT IYUNGA MBEYA JUMAMOSI IJAYO

Emmanuel mgogo akiwa na mkewe mtarajiwa              TAZAMA VIDEO YA MSIKILIZE MUNGU YA EMMANUEL MGOGO. STORY,. Mwanamuziki nguli wa mziki wa injili anayetamba na albamu mbalimbali kama vile Ipo wapi njia ile,Msikilize mungu,na Usipotelee mwishoni hatimaye baada ya maisha ya upweke sasa amemsikiliza Mungu na tare 14 november mwaka huu anatarajia kufunga ndoa katika kanisa la eagt iyunga jijini Mbeya  akizungumza na mtandao huu Emmanuel Mgogo amesema mpaka sasa maandalizi yanaendelea vizuri hivyo anamwamini mungu kuwa ataifanikisha 

amenifanyia aman paul clement

wimbo mpya wa paul clement amenifanyia aman

Usiyaone matatizo ya kiuchumi kama Kikwazo – Mwl Mwakasege

26 Shalom, Tunajua unataka uwe na uchumi mzuri. Hii ni kwa mwanadamu yeyote bila kujali mahali alipo,awe anafanya kazi au hata kama hafanyi kazi. Kuanzia leo na siku kadhaa zitakazofuata,tutajitahidi kukushirikisha misingi kadhaa iliyomo katika biblia,ambayo tunaamini itakusaidia uwe na uchumi mzuri. Msingi wa kwanza ni huu:Badilika unavyoamini juu ya uchumi,utabadilika unvyosema juu ya uchumi,na hali yako ya uchumi itabadilika vivyo hivyo. Tunaamini ya kuwa; mtu akibadilika anavyoamini atabadilika pia anavyosema;na hali yake ya maisha itabadilika vivyo hivyo. Jambo hili tunalipata tunaposoma kitabu cha Mithali 23:7 ya kuwa; “Maana aonavyo nafsini mwake,ndivyo alivyo.” Tafsiri nyingine ya mstari huu inasema;”maana awazavyo nafsini mwake ndivyo alivyo.” Tasfiri nyingine ya mstari huu inasema;”maana aaminivyo nafsini mwake,ndivyo alivyo.” Mstari huu unataka tujue ya kuwa maisha ya mtu alivyo ni matokeo ya awazavyo au aaminivyo au afikirivyo(mindset), nafsini mwake. Uli...

"UJUE ULIMWERNGU WA ROHO" na Mwl. Christopher Mwakasege

Ujue Ulimwengu wa roho. Kitabu kipya kilichotoka mwezi huu wakati wa semina ya Dar es salaam. Katika kitabu hiki utajifunza mambo mengi yanayohusu ulimwengu wa roho katika mpangilio wa sura kumi kama ifuatavyo; 1. Kufahamu umuhimu wa kujua uhalisi wa kuwepo kwa ulimwengu wa roho.  2. Kwa njia ya maombi unaweza kuwa mahali kiroho ambapo huwezi kuwa kimwili.  3. Mtu aliumbwa aishi katika maeneo mawili kwa wakati mmoja.  4. Mungu anakukaribisa katika ulimwengu wa roho ushiriki maamuzi pamoja naye kwa njia ya maombi yako.   5. Kufanikiwa kwako katika maombi kunategemea unavyoitunza na unavyoitumia nafasi yako uliyonaayo katika ulimwengu wa roho.  6. Tambua umuhimu wa nafasi unayoitumia unapomwomba Mungu.  7. Chanzo cha mamlaka uliyonayo katika ulimwengu wa roho kwa njia ya maombi.  8. Umuhimu wa kujijua unajulikanaje katika ulimwengu wa Kiroho. 9. Inawezekana Mungu amejibu maombi yako ila yamekwama katika ulimwengu wa roho.  10. Kwa maombi ya...

TANZIA: Mke wa Mwimbajiwa Nyimbo za Injili nchini Jackson Benty

Kwa Tasnia Ya Muziki Wa Injili Tanzania Tumepata Pigo Kwa Kaka Yetu Jackson Benty ( Mwenye Wimbo Huo Hapo Juu) Kuondokewa Na Mke wake,Kwa Wale Tulio Arusha Unaweza Fika Msibani Nyumbani KWA Jackson Benty kwamrombo karibu na bomba LA majina LA JESHI Kumtia Moyo, Lakini pia Kama Upo Mbali na Umeguswa Na Msiba Huu, Tunaweza Kutuma Rambi Rambi Zetu kwa MPESA 0754295801 Kumtia Moyo Ndugu Yetu Huyu # Jina  La Bwana Libarikiwe Katika Yote