Skip to main content

Posts

Showing posts from 2017

hapo sipo katika kituo chako

ili kupata album hii iliyo jaa utukufu na ujumbe utakao badilisha maisha yako na kuyafanya maisha yako kuwa ya dhamani mbele za mungu na wanadamu nikushauri ndugu usikose album hii coment namba yako tuta kuletea popote ulipo na mungu akubariki                           

makamanda kazini

HISTORIA YA UIMBAJI NA MUZIKI

Uimbaji asili yake ni mbinguni (Eze 28:13-15). Tutakapofika mbinguni tutaendelea kumwimbia Bwana (Ufu 15:2-4; Ufu 5:9-10). Hapa duniani nyimbo na muziki vilianza zamani sana baada ya kuumbwa kwa Adamu na Hawa “…na jina la nduguye aliitwa Yubali; huyo ndiye baba yao wapigao kinubi na filimbi.”(Mwa 4:1-21). UMUHIMU WA KWAYA KATIKA KANISA Kwaya ni kikundi cha watu wanaoimba pamoja(na kupiga vyombo vya muziki). Kwaya ni kiungo muhimu katika Kanisa kinachofanya huduma ya uimbaji. Wapo wanakwaya wenye vipaji vya uimbaji, sauti za kuvutia na uwezo wa kutunga nyimbo mpya. Kanisa ni mwili wa Kristo wenye viungo vingi; na kila kiungo kina kazi. Kiungo hiki (Kwaya) kikitimiza vizuri wajibu wake, Kanisa litahudumiwa (1 Pet 4:10-11). Kwaya ni muhimu ndio maana hata katika Agano la Kale walikuwepo watu maalum waliowekwa kufanya huduma ya uimbaji (1Nya 6:31-32). Maneno ya nyimbo yana nguvu kubwa. Yanaweza kubadili hali ya huzuni kuwa ya furaha na moyo mgumu kuwa laini. Mtu mwenye udhaifu anaweza ku...